Blueberry Coffee
Viungo:
Coffee, Blueberry Powder
Kazi Na Faida Zake
- Huyalinda macho, huboresha uonaji na kuondoa asthenopia, kuboresha uwezo wa kuona vitu vidogo (visual acuity);
- Kutia nguvu mwilini
- Kuondoa free radicals ambazo zinaweza kuzifanya kuta za mishipa ya damu kuwa ngumu (angiosclerosis) na kuzuia kuongezeka unene wa mishipa ya damu (fundus arteriosclerosis).
Yafaa Kwa:
Maelezo Muhimu:
Kahawa inaweza kusaidia shughuli za kimetaboliki za mwili na kusaidia kupunguza uzito. Inasaidia kuigeuza ethanol katika kinywaji cha pombe kuwa maji na carbon dioxide haraka katika mwili. Utafiti uliotolewa karibuni huko kwenye Chuo Kikuu cha Scranton, Marekani, umeonyesha kuwa kahawa ni chanzo nambari moja cha antioxidants, kitu muhimu cha kuulinda mwili dhidi ya mashambilizi ya free radicals. Matumizi ya kawaida ya kahawa pamoja na blueberry yanaweza kusaidia utendaji kazi wa moyo; kuburudisha akili; na kuzuia uharibifu wa tishu kutokana na mionzi.
<<<<< MWANZO